mchoro wangu wa katuni uliochaguliwa kutumika katika maonyesho ya katuni huko The Hague Netherlands maonyesho hayo yalijulikana kwa jina Cartoon exhibition Africa and Hague justice,maonyesho hayo yalikuwa na katuni zilizo chaguliwa kutoka kwa wachora katuni Gado,Miles,Glez,Popa,Zapiro,Ndula,Khalid Albaih,Bendib,Brandan,Ozone,Polman,Dr.meddy and Nayer.
No comments:
Post a Comment